Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Pamoja sana kamandaAisee ubarikiwe sana mkuu
Smart guy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana kamandaAisee ubarikiwe sana mkuu
Smart guy
Enjoy mkuu.Thanks but not an intro music, Nilitaka ambayo iko Extended/Intro na DJs
Sent using Jamii Forums mobile app
upo.. ngoja nitauwekaDaaaah mkuu, umetisha sana na wimbo mwingine unaitwa ishik chanden upo kwenye album hiyo hiyo
Ntashukuru sanaa, nimetafuta sana hizi nyimboupo.. ngoja nitauweka
E- Sir - bumba clainHaya Haya wakuu leo TBT
Kuna wimbo flani hivi kama skosei Ni wa Kenya au Uganda
Baadhi ya mashairi yake Haya hapa.
**Bum bumbaa bubumbu bumba uwiiii...
Bum bumbaa bumba bumbaa baa aiyaa**
Hilo dude ni hatar tatizo silijui jina wala muimbaji.
Huwa linagongwa sana club
Wakuu emu fanyeni mautundu tuone.
Show Kali mkuuAnza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata
Aisee ubarikiwe sana mkuu
Smart guy
Ndiyo kamandaVp mkuu hu
Vp mkuu hiyo kwaito ya hai hai hai umeipata???
Tafadhali mkuuAnza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata
Anhaaa ndo ipo hapo juu??Ndiyo kamanda
Smart guy
Ndiyo ninazo coz mi ni "Dj"Poa poa.
Hivi una extended song's??
Ebana eeeee kumbe w n Dj??Ndiyo ninazo coz mi ni "Dj"
Smart guy
Bado sijaanza rasmi kuingia kwenye media.sana sana napiga kwenye vi part vidogo vidogoE
Ebana eeeee kumbe w n Dj??
Media gani upo mkuu???