Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Sijui Ni wimbo au Ni nini, ila Ni tarumbeta(trumpet) lilikua linapigwa wakati mazishi ya wanajeshi wa world war I yakifanyika. Linapigwa kwa uhuzuni sana na taratibu. Maara yamisho kusikia Ni kwenye maazimisho ya miaka 100 ya kuisha kwa Vita ya kwanza dunia 11 November. Baadhi ya mechi England zili'pose' dk mbili kuenzi na kuna mjeshi mmja ndoakawa anakipuliza kitarumbeta. Mpaka Leo nautafuta sijaupata
 

Attachments

  • salute.jpg
    salute.jpg
    21.2 KB · Views: 99
Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa yak msanii wa Irina, ngoma yake moja kwenye chorus ilikua inasema tuma bas msg ya Maneno 10 unijulishe kama bado uko Nam. Nshushie ngoma zake hy janja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Haya wakuu leo TBT
Kuna wimbo flani hivi kama skosei Ni wa Kenya au Uganda
Baadhi ya mashairi yake Haya hapa.
**Bum bumbaa bubumbu bumba uwiiii...
Bum bumbaa bumba bumbaa baa aiyaa**
Hilo dude ni hatar tatizo silijui jina wala muimbaji.
Huwa linagongwa sana club
Wakuu emu fanyeni mautundu tuone.
E- Sir - bumba clain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata
Tafadhali mkuu
Mi naomba top ten(playlist) Kali ya kwaito konki unazozikubali
Naziomba hapa mkuu.

Natanguliza shukran.






#Idimi
 
Back
Top Bottom