Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Nyimbo za salehe jabiri.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Nyimbo za salehe jabiri.
Opp
Jump
Na nyingine ambazo nimezisahau,mwenye nazo anisaidie jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba Pure Penzi. Enjoy.
Ha ha ha haya enjoy mkuu;
Zimepatikana hizo mkuu...
Ahhahh...Maneno yako ya mwisho[emoji2] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]...Ngoja nijitahidi kuutafuta, Naweza pata papa yako[emoji2] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]We mkaka mambo, natafuta wimbo wa "Shangingi/Buzi" wameimba Muungano Cultural Taarab.
Wanaimba hivi:
Buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna
Linachunwa kwa ulanini huku linapakwa ina.
Mashangingi acheni mambo waume mtawamaliiiza
Punguzeni urembo wenzenu mwawatatiza
Yaani nikiupata nitafurahi sana, hata ukinitongoza sitokataa.
Wimbo upi?
Nyimbo moja ya TAARABU...
Mashairi yake yanaimba hivi ""AMA KWELI MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA KALA HASARA...KILA UKIONACHO WAKITOLEEA MACHO WATAKA KUKICHUKUA""
Please, huu wimbo nautafuta sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Mam Debora Shukrani sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120] Ubarikiwe sana[emoji2] [emoji120]Huo hapo mkaka. Mie bado wimbo wa shangingi buzi linachunwa sijaupata.
Wazee wa kazi Idimi,Gwankanja na Kioo.. habari ndo hiyoo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mkaka mambo, natafuta wimbo wa "Shangingi/Buzi" wameimba Muungano Cultural Taarab.
Wanaimba hivi:
Buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna
Linachunwa kwa ulanini huku linapakwa ina.
Mashangingi acheni mambo waume mtawamaliiiza
Punguzeni urembo wenzenu mwawatatiza
Yaani nikiupata nitafurahi sana, hata ukinitongoza sitokataa.
Hahaha...Fursa hiyo[emoji2]Wazee wa kazi Idimi,Gwankanja na Kioo.. habari ndo hiyoo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu miliomba msaada wa nyimbo ya Afande Sele ft Lady E uitwao #UmeondokaKwaito nyingine kali hizi hapa.
#TBT
Habar wakuu
Naomba ngoma ya
Ngwea ft Fid Q_CNN
Shukran