Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomba msaada wimbo wa juma nature_sherehe unatoka kwenye album ya hakuna kulala
 
Omba Pure Penzi. Enjoy.

We mkaka mambo, natafuta wimbo wa "Shangingi/Buzi" wameimba Muungano Cultural Taarab.

Wanaimba hivi:

Buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna
Linachunwa kwa ulanini huku linapakwa ina.
Mashangingi acheni mambo waume mtawamaliiiza
Punguzeni urembo wenzenu mwawatatiza

Yaani nikiupata nitafurahi sana, hata ukinitongoza sitokataa.
 
Ha ha ha haya enjoy mkuu;

Zimepatikana hizo mkuu...

Nyimbo moja ya TAARABU...
Mashairi yake yanaimba hivi ""AMA KWELI MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA KALA HASARA...KILA UKIONACHO WAKITOLEEA MACHO WATAKA KUKICHUKUA""

Please, huu wimbo nautafuta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhahh...Maneno yako ya mwisho[emoji2] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]...Ngoja nijitahidi kuutafuta, Naweza pata papa yako[emoji2] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo moja ya TAARABU...
Mashairi yake yanaimba hivi ""AMA KWELI MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA KALA HASARA...KILA UKIONACHO WAKITOLEEA MACHO WATAKA KUKICHUKUA""

Please, huu wimbo nautafuta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo hapo mkaka. Mie bado wimbo wa shangingi buzi linachunwa sijaupata.
 
Attachments

Huo hapo mkaka. Mie bado wimbo wa shangingi buzi linachunwa sijaupata.
Hahahahahahah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Mam Debora Shukrani sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji120] Ubarikiwe sana[emoji2] [emoji120]
Kweli JF ni Bab Kubwa[emoji2] [emoji120]

I wish niupate wimbo unaoutafuta pia[emoji39] ...Nikutongoze[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mkaka mambo, natafuta wimbo wa "Shangingi/Buzi" wameimba Muungano Cultural Taarab.

Wanaimba hivi:

Buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna
Linachunwa kwa ulanini huku linapakwa ina.
Mashangingi acheni mambo waume mtawamaliiiza
Punguzeni urembo wenzenu mwawatatiza

Yaani nikiupata nitafurahi sana, hata ukinitongoza sitokataa.
Wazee wa kazi Idimi,Gwankanja na Kioo.. habari ndo hiyoo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom