simon sebastian
Member
- Jan 5, 2019
- 8
- 3
kuna nyimbo nautafuta unaitwa INGEKUWA POA - WANDAGO.huu wimbo ulikuwa diss track kwa MWANA FA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna nyimbo nautafuta unaitwa INGEKUWA POA - WANDAGO.huu wimbo ulikuwa diss track kwa MWANA FA
Hizi nyimbo nazitafuta sana
(1)sipendi kuona-wandago
Hizi nyimbo nazitafuta sana
(2)sifa kumi za demu-o ten
Wimbo wa shadrack x ft Angel Bernard ....Mungu nilinde
Maana kila nikigoogle naletewa mauzauza
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Sana Jamiiforums. Feel The Vibes.
Asante sana ndugu KIOO kwa kunikaribishaKaribu Sana Jamiiforums. Feel The Vibes.
Mwenzenu mimi,natoka morogoro,najivunia kwetu mji kasoro bahari
Lazma nitarudi hata nikienda mbali,kwa vile ndugu zangu Moro wananisubiri.Inaitwa Moro by afande sele
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu KIOO kwa kunikaribisha
Upo mwingine aliimba afande sele ft mc koba ktk albam yke ya kwanza ya mkuki moyoniUnamaanisha huu...?
Wakuu nahitaji Nyimbo zifuatazo. Hizi nyimbo zimeimbwa na Bongo all stars ila sizikumbuki majina.
1. Umeimbwa kuzungumzia maafa ya mafuriko kilosa. Kuna wasanii wengi wapo
2. Umeimbwa kuzungumzia walemavu. Kuna hii keyword " Kwani wote ni sawa" wapo akina fid q, mzee yusuph na mwasiti na wengine
Upo mwingine aliimba afande sele ft mc koba ktk albam yke ya kwanza ya mkuki moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kazi kioo.
Kuna wimbo nausaka kila leo. Ngoja nitakwambia unavyoimba, Nadhani ni wa South Africa.