Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Wakuu nahitaji Nyimbo zifuatazo. Hizi nyimbo zimeimbwa na Bongo all stars ila sizikumbuki majina.

1. Umeimbwa kuzungumzia maafa ya mafuriko kilosa. Kuna wasanii wengi wapo

2. Umeimbwa kuzungumzia walemavu. Kuna hii keyword " Kwani wote ni sawa" wapo akina fid q, mzee yusuph na mwasiti na wengine
 
KIOO.

Kipindi nikiwa mtoto kuna wimbo mzee wangu alikuwa anapenda sana kuusikiliza ila nakumbuka kwa mbali sana mashairi ya ile wimbo (nadhani ule wimbo ni wa bondeni) kama hauutwi "Somebody" basi ni bahati, maana ndilo neno lilikuwa linazungumzwa sana mle.

Yale mashairi yalikuwa kama hivi, endapo nitakosea basi mwenye kuujua anisaidie.

I need somebody to love me
I need somebody to hold me x2.

Everyday, everynight. Everday in more.
I need.x2

Sauti ya mwanamke mmoja hivi baada ya hapo linafuatia biti moja dah ule wimbo sijui unaitwaje.

Msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom