Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna mdau aliomba nyimbo za Capt. Komba ila hakujibiwa.

Naomba kwa mara nyingine tena.
 
Natafuta wimbo bahati mbaya msanii na jina la wimbo nimesahau,chorous inaimbwa:

[emoji445]you better love me or leave alone(leave me alone),you better love me or leave me alone(leave me alone)[emoji445]

Umeimbwa na mwanadada flabi miaka ya 2003/2004.
Ulishaupata!? Na mimi nautafuta.
 
Jamani ndg zangu naombeni wimbo ulioimbwa na Ziggy Marley Nina silikumbuki ila nakumbuka vionjo kidogo.......marleeeeey malisalataaa....alafu wanaitikia malisalataaa..ilivuma Sana miaka ya 92 Hadi 95 Kama sikosei pls naomba hii song
 
Au ndio hii inayoitwa Usipime,yupo na Colloo?
Hapana, hiyo track Babuu wa kitaa kaifanya peke yake inaimbwa NANI ANAYEWARUSHA!? na watoto au mabinti wanaitikia BABUU WA KITAA!!

Humo ndani Babuu kajisifia sana!!

Pliiz kwa mwenye kuweza kuipata tafadhali.
Mkuu KIOO naona kama umesaidia wengi humu fanya kitu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.

Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.

"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"

Dude linaitwa FARIDA.



Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9

Nauomba tafadhali wakuu.
 
Habari.

Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.

"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"

Dude linaitwa FARIDA.



Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9

Nauomba tafadhali wakuu.
Wimbo unaitwa farida msanii anaitwa Eman
 
Back
Top Bottom