Wakuu naomba kwa mwenye nyimbo za Mubaraka Mwinyishehe Mwaruka atuwekee hapa,napenda sana kusikiliza jumbe zake.

Ikiwezekana zote maana kwa upeo wangu hakuwa na wimbo m'baya hata mmoja.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Naamini wimbo unaoutafuta ni wa ButtaPhyl "Love or Leave Me Alone"
 
Natafuta hizi nyimbo kutoka kwenye album moja ya Aurlus Mabele ( hii album ninayo kwenye mfumo wa cassette) inaitwa "Elephants Ambiance" na hizi ndio nyimbo zilizopo
Tracklist:


1. Elephants Ambiance .
2. Tienbé Moin Fó
3. Elephants A Gagné
4. Motema Na Ngai

Haya naomba msaada hapo.
 
Habarini wakuu!
Naomba na hizi nyimbo tatu

1; mwaka wa tabu by ally choki
2;we unaenda,mi nitabaki na nani by hayati Papa wemba
3; 100 kilos by Marquis.

Ahsanteni!!
 

Attachments

Nimejitahidi sana kuangalia katika library yangu, sijaona majina ya hizo nyimbo. Nadhani sina. Nilizopata ni hizi hapa chini
 

Attachments

Naomba ngoma zote za HEMEDY PHD yule jamaa wa bongo movie.

Habar wakuu hamjambo?
Natanguliza shukran.


Gwankaja
Kioo
Idimi
Dj B
Times9
Be serious bhana! Utaombaje nyimbo zote?
Haya anza na hizi
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…