milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Kaka una nyimbo ya joto hasira ya lady jay dee?nakuaminiaZa kizazi kipya nyingi mnazo kwenye mitandao. Hizi za zamani nyingi hazipo mitandaoni, hivyo tunafanya kukumbuka enzi. Hata hivy hujazuiwa kuomba, utapewa tu.
Kaka naomba nyimbo ya joto hasira ya lady jay dee kama unayo nimeshamcheki na Idimi kama unayo nawaaminia
Nakubali mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF is never boring
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Huu hapa. EnjoyKaka naomba nyimbo ya joto hasira ya lady jay dee kama unayo nimeshamcheki na Idimi kama unayo nawaaminia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka naomba nyimbo ya joto hasira ya lady jay dee kama unayo nimeshamcheki na Idimi kama unayo nawaaminia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya we muhenga, hizi hapa! Enjoy 😀😀😀😀7.Mokuwa..zote za koffi olomide kitambo hicho.
- Fouta djallon
- Parking ya baba
- Dossier du jour
- Chantou
- Motomolo
- Etat civil na
Barikiwa Sana ndugu.Haya we muhenga, hizi hapa! Enjoy 😀😀😀😀
Amina broBarikiwa Sana ndugu.
Westlife-hello my love, naomba mwenye nao aa upload hapa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Kakere huu hapa. Huo wa Nature ataurusha mwingine. Enjoy#TBT
Sio mbaya nkawaomba wakina JUMA hawa.
1. Juma kakele_safari
2. Kg Son Ft Juma Nature_kazi Ni kazi
Natanguliza shukran.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Times9
Dj B
Habar zenu wakuu natumai hamjambo.
#TBT
Sio mbaya nkawaomba wakina JUMA hawa.
1. Juma kakele_safari
2. Kg Son Ft Juma Nature_kazi Ni kazi
Natanguliza shukran.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Times9
Dj B
Habar zenu wakuu natumai hamjambo.