IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Mkuu naomba ngoma ya Amini- so so soWa Super Danger na Banza Stone huu hapa!
Zingine atakupatia KIOO
Yap nashukuru sana.... ila pia kuna ngoma naitafuta ya jamaa anaitwa Soprano inaitwa Tushaonana wabaya.Naona mkuu KIOO ameuweka hapo juu
Hapana, hiyo track Babuu wa kitaa kaifanya peke yake inaimbwa NANI ANAYEWARUSHA!? na watoto au mabinti wanaitikia BABUU WA KITAA!!
Humo ndani Babuu kajisifia sana!!
Pliiz kwa mwenye kuweza kuipata tafadhali.
Mkuu KIOO naona kama umesaidia wengi humu fanya kitu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuisubiri mkuu
Yap nashukuru sana.... ila pia kuna ngoma naitafuta ya jamaa anaitwa Soprano inaitwa Tushaonana wabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app