Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 293
nanafuta saana wimbo wa Innocent Galinoma unaitwa Mount KilimanjaroHuu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965
umeshawekwa pekuaMi nautaka "Wacha waisome namba eee"
Unasema Gone to soon ya Michael Jackson au Above all wa Jenifer malope i thinkNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Mimi pia nautafuta huu wimboEmmanule nkulila pain in me
Sijasikiliza mda mrefu ila zamani alikuwa anatumia beat ya Mwanamziki anaitwa Butterfly-Angel sijui kama bado anatumia hiyo.....Butterfly alishawahi kutamba na wimbo love me or leave me alone.Wimbo ule wa kwenye beat la ala za roho cha diva pale clouds fm....
I dont wanna feel lonelykuna song bomba la bebe kul nimeliskia likipigwa EA radio. bht mbaya cjui jina.
Umo humu angalia page 25Mkuu,hakuna wimbo nautafuta kama huo.Ushaupata?