monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Mkuu,kwani unamiliki radio station?Natafuta nyimbo ya Juma nature na Karen Makupa.....mamiii njoo tuwe pamoja mwenzio mm sina rahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha Riziki akiwa na Dada Mkubwa pamoja na Bizman au...?
Mafaniko yapo. Huu hapa. Enjoy
Huu hapa. EnjoyNaomba "Sonia" by juma nature
Niliweka kwenye posts za nyuma. Lakini ngoja niuweke tu. EnjoyWakuu sana kuna ngoma aliimba banza stone na kundi lake, siijui jina lakini hapa chini na baadhi ya maneno kwenye hiyo ngoma.
I love you sweet baby, i need you sweet baby.
Nakupenda kwa dhati sweet baby, kwa uvumilivu wako ulionao.
Verse
Tulipoanza tulipata taabu, hatukujali maneno ya watu, kwani maneno yalitupotosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa. Enjoy
Asante sanaHuu hapa. Enjoy
Mwenye nyimbo ya
Saida kaloli ft benjamini mambo jambo_ikitobero rmx
Wachuja nafaka ft KR_ mzee wa busara rmx
Tafadhali naiomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaitwa It might be kaimba Enya uko YouTubeNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Ninao hapa ila haukubali ku attach, next time nikiwa kwenye PCWadau NAomba wimbo wa African Revolution Band (Tamtamu) (ile ya akina Muumini) Paulina.