Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu sana kuna ngoma aliimba banza stone na kundi lake, siijui jina lakini hapa chini na baadhi ya maneno kwenye hiyo ngoma.

I love you sweet baby, i need you sweet baby.
Nakupenda kwa dhati sweet baby, kwa uvumilivu wako ulionao.

Verse
Tulipoanza tulipata taabu, hatukujali maneno ya watu, kwani maneno yalitupotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliweka kwenye posts za nyuma. Lakini ngoja niuweke tu. Enjoy
 

Attachments

Attachments

Wadau NAomba wimbo wa African Revolution Band (Tamtamu) (ile ya akina Muumini) Paulina.
 
Oya wakuu kuna ngoma moja hivi ameshirikishwa Nuruely kwenye chorus inazungumzia club ya kitambo hivi naombeni msaada wakuu.

Inahusu party wadau. Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom