Attachments

Kuna wimbo una mahadhi ya kiswahili cha Kenya "tukajenge nyumbembe nyumba ya ghorofa...mama nakwenda kwetu nyumbani..."
 
Naomba mtu anisaidie hizi:-
1. Mama (original version) - King Crazy GK
2. Blah blah- Mr. Two
3. Nimesimama - Mr. Two
4. Jiko limenuna - Fanani (LWP)
Duh! Jiko limenuna ziko mbili
1 Zig Zag Crew
2. Nyingine Gangwe mobb

"ᵀʰᵉ ᵒⁿˡʸ ˢᵒᵘʳᶜᵉ ᵒᶠ ᵏⁿᵒʷˡᵉᵈᵍᵉ ⁱˢ ᵉˣᵖᵉʳⁱᵉⁿᶜᵉ"
 
Kuna wimbo mmoja ulikua unaimbwa sina kama unavoniona mpenzi ndo mana nmekuchagua wewe ukizi yang mahitaji,,si kwamba sitak dem Ila sijamwona mwenye sifa kama wewe mpenzi.. Verse 1 nusu nakumbuka inasema hv,, Mara ya kwanza kukuona ulikua koko beach washkaji wakadai bado we n mbichi.nfanyanyie hli kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B. Boy Sina Demu
 
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…