Mzungu wa Meli
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 215
- 277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, huu hapa. EnjoyAnaitwa Besta mke wa marlaw aliitengenezea kenya inaitwa baby boy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa. Ushindwe weweWakuu natafuta nyimbo za 1:Nimekubali by Mez b ft temba 2:Asali wa moyo by inspecktar haroun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kusikiliza hizi. EnjoyJaman mwenye sebeni la werrason naomba
Msanii anaitwa Mchizi MoxJamani huu wimbo, unaimba hivi *masera vip mambo ....masera vip mambo...poaaaa...*samahani naomba kujulishwa ulipigwa na akina nani au mwenye nao anisaidie. Nitashukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Jiko limenuna ziko mbiliNaomba mtu anisaidie hizi:-
1. Mama (original version) - King Crazy GK
2. Blah blah- Mr. Two
3. Nimesimama - Mr. Two
4. Jiko limenuna - Fanani (LWP)
B. Boy Sina DemuKuna wimbo mmoja ulikua unaimbwa sina kama unavoniona mpenzi ndo mana nmekuchagua wewe ukizi yang mahitaji,,si kwamba sitak dem Ila sijamwona mwenye sifa kama wewe mpenzi.. Verse 1 nusu nakumbuka inasema hv,, Mara ya kwanza kukuona ulikua koko beach washkaji wakadai bado we n mbichi.nfanyanyie hli kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani huu wimbo, unaimba hivi *masera vip mambo ....masera vip mambo...poaaaa...*samahani naomba kujulishwa ulipigwa na akina nani au mwenye nao anisaidie. Nitashukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo mmoja ulikua unaimbwa sina kama unavoniona mpenzi ndo mana nmekuchagua wewe ukizi yang mahitaji,,si kwamba sitak dem Ila sijamwona mwenye sifa kama wewe mpenzi.. Verse 1 nusu nakumbuka inasema hv,, Mara ya kwanza kukuona ulikua koko beach washkaji wakadai bado we n mbichi.nfanyanyie hli kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuu!Mie nilizonazo ni hizo tu aisee. Wengine wataongezea. Feel The Vibez Bro.