Mkuu shukrani sana sana sana, huu wimbo niliutafuta sana bila mafanikio. Ni wimbo wa kwanza marehemu Jebbi kuskika.Mafaniko yapo. Huu hapa. Enjoy
Nina shida na nyimbo zote za juddy Boucher.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
K Bazil wimbo "Wanipa Raha" naomba unisaidie kama upo.
Na wimbo mwingine unaitwa eemeni rmx wa majizee kutoka kenya ft solo thang nautafuta sana bila mafanikio tafadhali tupieni tuipate
Babelon unaitwaKuna wimbo wameimba boney m Jina nimeusahau ila video yake wanaonesha sura kama wimbo wa chrismass
Sent using Jamii Forums mobile app