Kiinua Mgongo
Member
- Sep 25, 2018
- 10
- 7
"Niwe nawe penzi lako la thamani lenye wingi wa nahau " baadhi ya mistari kwenye huo wimboNdio hii inasema "Nataka niwe nawe mpenzi wangu kila siku. Nataka nikuone mpenzi wangu hata usiku. Lakini tatizo sikuoni weewe. Lakini tatizo huonekani weewe... "
Ndio huo au...?
Na ule wa mzee mchana usiku kijanaNAOMBA WIMBO WA WANDAVA CLICK FT INSPECTOR HAROUN
UTAPENDA WANGAPI?
NA KIGHETO GHETO ORIGINAL VERSION YA JUMA NATURE NA KING SAPETO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Goma linaitwa Swanglish. Wakilisha hao (Rip Langa, Sarah[Shaa] na Witness)Habar za saa wakuu.
Naomba hii ngoma yenye mistari hii
"Najiuliza hili swali sipati jibu kamili
Waliongea wabongo kimombo kiswahili"
Dude litakuwa linaitwa kimombo kiswahili
Ni la kitambo kidogo.
Shukran.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Na woteeee.
Ndio huyo huyo zamani Sarah sahv anajulikana kama ShaaHivi ni Shaa au Sarah mkuu...?
HAPO MNACHANGANYANA ILA NIMEKUELEWA WEWE UNATAKA WENYE MAHADHI YA RNB MWENZIO AKAFIKIRI NI HUU WA MAHADHI YA RHUMBA."Niwe nawe penzi lako la thamani lenye wingi wa nahau " baadhi ya mistari kwenye huo wimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usjali,tupo hapa kujuzana kila mmoja kwa namna yake[emoji109][emoji109]Asante kwa kutumia muda wako wa thamani kufanya hili zoezi mkuu. Nimekupenda bure my dear.
Thanks for the info.
Shaa,Witness Na Langa,,ndio waanzilishi wa Wakilishi bro,,muungano wa majina yao ndio yalitengeneza WAKILISHA=WA ilisimama kama Witness,,KILI=Kileo(Langa Kileo),,SHA=Sarah...Sina hakika kama Shaa aliwahi kuwa Wakilisha my dear.
Ni wimbo wa Wakilisha Stars (Langa, Shaa na Witness). Kwangu sina, nadhani KIOO anao. Ulitamba sana miaka hioHabar za saa wakuu.
Naomba hii ngoma yenye mistari hii
"Najiuliza hili swali sipati jibu kamili
Waliongea wabongo kimombo kiswahili"
Dude litakuwa linaitwa kimombo kiswahili
Ni la kitambo kidogo.
Shukran.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Na woteeee.
Habari za asubuhi [emoji42][emoji42]Shaa,Witness Na Langa,,ndio waanzilishi wa Wakilishi bro,,muungano wa majina yao ndio yalitengeneza WAKILISHA=WA ilisimama kama Witness,,KILI=Kileo(Langa Kileo),,SHA=Sarah...
Utaona baada ya Shaa kujitoa,,Wakilisha ilibadirika jina na kuitwa WAKILI,,,SHA iliondoka na Sarah.
Hahaha salama kabsa,,unachokitafuta ukipata
Yap. Alikuwa wakilisha Stars, lilikuwa ni shindano la kusaka vipaji, lililodhaminiwa na Cocacola. Ndimo alimotoka marehemu Langa Kileo na Witness Mwaijega (WITNESS)Sina hakika kama Shaa aliwahi kuwa Wakilisha my dear.
Huu hapa. Enjoy
Niseme tu huu uzi unaishi na umenifaa sana Ahsante Secret Star kuuanzisha. Imenibidi kuanza nao tangu mwanzo na hakika nimepata madini yanayonikumbusha enzi hizo... Idimi gwankaja KIOO na wengineo wote... Niseme tu nashukuru kwa mara nyingine.
Mwenye nyimbo zifuatazo tafadhali;
1. Univesity Corner - Usinicheke
2. Wateule - Nipende Nichukie
3. James Dandu - Mamou rmx alioimba na Madilu System nadhani
4. Nataka niseme mi, aah kidogo tu brrr ssss aahh kidogo tu (nimesahau walioimba)
Niseme tu huu uzi unaishi na umenifaa sana Ahsante Secret Star kuuanzisha. Imenibidi kuanza nao tangu mwanzo na hakika nimepata madini yanayonikumbusha enzi hizo... Idimi gwankaja KIOO na wengineo wote... Niseme tu nashukuru kwa mara nyingine.
Mwenye nyimbo zifuatazo tafadhali;
1. Univesity Corner - Usinicheke
2. Wateule - Nipende Nichukie
3. James Dandu - Mamou rmx alioimba na Madilu System nadhani
4. Nataka niseme mi, aah kidogo tu brrr ssss aahh kidogo tu (nimesahau walioimba)