Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nahitaji wimbo wa Stive kabuya(stive kafaya)aliwahi kuwa mtangazaji wa Kiss fm na baadae Ea Radio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


MKALI KUNA JAMAA ALIIMBA WIMBO ILA JINA SILIKUMBUKI ALIKIWA ANAJIITA DR KWENYE KIITIO AMEITIKIA MTOTO WA KIKE JAMAA WAPO BEACH VILE MTOO ANASEMA KAMA UPO FITI NJOO UPALI NASI GHARAMA ZA VINYWAJI UNIITE MI
BURUDANI HALI IKO SHWARI WE MWITE NANI NAUTAFUTA SANA MKUBWA WANGU
PIA WIMBO WA AIWA MAIGA PAPA BONHER RMX
 
Nahitaji wimbo wa Stive kabuya(stive kafaya)aliwahi kuwa mtangazaji wa Kiss fm na baadae Ea Radio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Attachments

Huo wa pili...
Born crew-kilio cha wanafunzi

Ni kilio cha wanafunziiiiiiii
Tunapotoka nyumbani kujongea shule/
Tunaporudi nyumban kutoka shule/
Ndan ya daladala watu tunanyanyasana/
Ndani ya daladala watu.....................
Kuna wimbo mmoja hivi wa anderground wa zamani sijui kaimba msanii gani jina limenitoka unaekezea maisha kama ya kuzaliwa mpaka unatokea duniani ulikuwa unapigwa sana radio prt kabla haujabadilishwa jina na kuitwa tbc fm na kuna mwingine jina sina uhakika na jina unahusu wanafunzi kunyanyaswa sijui unaitwa ndani ya daladala haki tunanyimwa ni rap fulani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom