Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
naomba mwenye nyimbo hi
1.afande sele f.t nash g na dito na bizman umeondoka rmx hii nyimbo ipo kwenye album ya darubin kali kama sijakosea
2.malik nyimbo inaitwa my fellow ni raggetone flan ya mshikaj mmoja wa mwanza baadhi ya mistar inaimba sina niambaya nikubalie wewe mzur sana niangalie
2.abuu v.i.p nyimbo flan ya kitambo ya dogo mmoja hv alikuw anachana kama mr bluu baadhii ya mistar inaimba mimi tu ndo nataka kuwa na ww japo baby ww hutaki kuwa nami ni soo ooh mamy girl njoo v.i.p uone navyo flow
3.kimweli jina la nyimbo nimelisahau ila jamaa anaimba kama analia anazungumzia kuwa kuna mtu anamdai milion tatu anakubali den na kuhaid atakuw ana mlipa mia tatu
4.Stive rnb nieleze wimbo huu una maadhi ya ragge nadhan ndo nyimbo yake ya kwanza
kioo na washikaj wengine msaada
 
wimbo wa langa na witness(wakili) baada ya shaa kujitoa unaitwa no chorus nautafuta sana kwamwenye nao plz
 
Nilipojua kusoma ya mtu mwembamba ft dully sykes nautafuta bila mafanikio na huo wa nasma kidogo sananu ka michelin
 
1.afande sele f.t nash g na dito na bizman umeondoka rmx hii nyimbo ipo kwenye album ya darubin kali kama sijakosea
Aisee huu wimbo nautafuta sanaaaa, napenda sana pale mwisho sele anaongea kama analia, ukipatikana nitag mkuu, mi nilikuwa nao ule OG wapo na dem gan sijui yule
 
Wadau wa oldsongs natafta sana hizi nyimbo
0.Bob Marley ft lauryn hill-Goodlove
1.TMK majita-Tunadatisha
2.Dudu baya-Kaza Buti
3.Bamboo-(wanaimba,nilimkoseaa sasa amepotea hee yaheyahee nisamehee)
4.Nyimbo ya clouds-shangwe za kila mwaka
5.Necessary noise-Kenyan boy
6.Na intro ya Professor jay-Jina langu(huwa kanaimba katoto alaf kanakohoa)

Natanguliza shukrani[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Aisee huu wimbo nautafuta sanaaaa, napenda sana pale mwisho sele anaongea kama analia, ukipatikana nitag mkuu, mi nilikuwa nao ule OG wapo na dem gan sijui yule
lady e huo ninao ila upo kwenye pc ntaupandisha kesho ila nataka rmx yake
 
jaman msaada wa nyimbo hizi kioo na washkaj wengine naamin hakuna kinacho shindikana

Back
Top Bottom