We nenda tu we nenda tu,sikuhitaji tena,we nenda we nenda tu. Moyoni umenichoma,ondoka wewee nenda usije nletea ngomaa aaah wee nenda tuuu!!Hiyo we nenda tu inaimbwaje chorus?
Hiyo ngoma kama ni yenyewe nimewahi kuwa nayo nikaipoteza.. Mwenyewe naitafita sana...We nenda tu we nenda tu,sikuhitaji tena,we nenda we nenda tu. Moyoni umenichoma,ondoka wewee nenda usije nletea ngomaa aaah wee nenda tuuu!!
Kiufupi Fred P ndo aliyefanya chorus ya Ngoma Ya Majita-Tunadatisha... na hata chorus hiyo ina tune flani inayofanana na hii nyimbo nayoiulizia! Ni ngoma iliyotoka kati ya 2004/05
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gwankaja.. nimeona ngoma ya TMK Majita nikakumbuka nyimbo kadhaa nazitafuta.
1. We nenda tu-Fred P
2. Jimmy Jamal- Mama Usiniue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma kama ni yenyewe nimewahi kuwa nayo nikaipoteza.. Mwenyewe naitafita sana...
Inaimbwa "we nenda tu.. We nenda tu... Moyoni umenichoma.. Ondoka ww nenda usije niletea ngoma oooh.."
Poa mkuu ukiipata ya Fred p Nicheki pia
Haina shida... ninayo tu instrumental yenye chorus bila verses!! Ila nikiipata ntakuchek!! Pamoja sana...Poa mkuu ukiipata ya Fred p Nicheki pia
Mwenye wimbo unaimbwa hivi huyu demu hebu cheki akipita anatingisha fingisha sijui kaimba nani na mwingine unaitwa chuma ulete kashirikisha h baba kaimba kama sikosei super dancer mwenye nao tafadhali
Naomba wimbo wa Twanga pepeta....Stockhom
Nimeutafuta sana wimbo fulani hivi unaitwa chuma ulete kuacja huu wa rayvanny wenyewe mshikaji kamshirikisha h baba mwenye nao tafadhali atume na Mwingine unaimbwa hivi kula lazima kioga hiyari jumla nyimbo mbili moja chuma ulete na huo kula lazima zote h baba Ameshirikishwa
Sent using Jamii Forums mobile app