Hahahahah, siwezi kulitaja hapa aisee.

Kwanza pia si-deal sana na game siku hizi kuna vitu ambavyo vinani-keep bizzy sana.

Kwa hiyo sipo sana karibu na game kwa sasa bro. Thanks.

Daaah, poa mwana.

Fanya basi kututupia japo ngoma yako moja mkuu tupate ladha kidogo au.
 
Daaah, poa mwana.

Fanya basi kututupia japo ngoma yako moja mkuu tupate ladha kidogo au.

Hahahahah. Wee jamaa bwana.

Ila umetaka moja tu sitaongeza nyingine kwa sababu ni unreleased songs mkuu.

Hiyo hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.
 
Attachments

Hahahahah. Wee jamaa bwana.

Ila umetaka moja tu sitaongeza nyingine kwa sababu ni unreleased songs mkuu.

Hiyo hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.

Aisee hatari sana kiongozi. Nimeuelewa sana mkuu.

Heshima kwako mkuu.

👊🏽
 
Oya wakuu naombeni ile audio clip ya jamaa mmoja anaitwa Kijiti anatokea Nungwi anaongea na customer care wa Zantel mwenye nayo aitupie hapa wakuu. Asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…