Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni #Kioo Cha Jamii.
Unamaanisha kioo cha jamii kwenye sanaa ya muziki mkuu au...?
Ndio mkuu.
Aisee salute sana kiongozi wangu. Unatumia jina gani kwenye game mkuu ?
Hahahahah, siwezi kulitaja hapa aisee.
Kwanza pia si-deal sana na game siku hizi kuna vitu ambavyo vinani-keep bizzy sana.
Kwa hiyo sipo sana karibu na game kwa sasa bro. Thanks.
Daaah, poa mwana.
Fanya basi kututupia japo ngoma yako moja mkuu tupate ladha kidogo au.
Hahahahah. Wee jamaa bwana.
Ila umetaka moja tu sitaongeza nyingine kwa sababu ni unreleased songs mkuu.
Hiyo hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.
Wimbo wa bi Kidude; Kijiti, ule orijino... mwenye nao tafadhali!