Yes,
Nani mwimbaji ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.

Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo wanatamani kuwa hivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.

Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.

Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.

Usiombe kuwa Msanii, utateseka sanaaa~Madee feat T.I.D.
 

Attachments

Daah,yaliyosemwa humo sina shaka nayo nimeyaelewa sana lkn nilishindwa kuelewa nani msemaji wa hayo.
Kuna kitu ndani yako Mungu akubariki km ndio unaanza au upo tayari,.hip hop for life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…