KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Eimen.
Basi ni vyema kabisa MUNGU akupe hitaji la moyo wako my dear.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Ubarikiwe sana kwa kazi unayoendelea kuifanyaUsjali mkuu ntafanya juhudi za kuweza kuuweka hapa jamvini. Ahsante.
AmiinEimen.
Basi ni vyema kabisa MUNGU akupe hitaji la moyo wako my dear.
Kuna wimbo nilidownload jana unaitwa "Unataka kuwa mimi"Usjali mkuu ntafanya juhudi za kuweza kuuweka hapa jamvini. Ahsante.
Me naomba ALL OF ME YA JOHN LEGENDWadau NAomba wimbo wa African Revolution Band (Tamtamu) (ile ya akina Muumini) Paulina.
Kuna wimbo nilidownload jana unaitwa "Unataka kuwa mimi"
Nimeusikiliza zaidi ya mara 5 au 6 sijawafaham waimbaji waeza nifahamisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah,yaliyosemwa humo sina shaka nayo nimeyaelewa sana lkn nilishindwa kuelewa nani msemaji wa hayo.Hahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.
Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.
Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.
Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.
Exactly kiongozi wangu...!Daah,yaliyosemwa humo sina shaka nayo nimeyaelewa sana
Oooh Owkay ni yangu mkuu.lkn nilishindwa kuelewa nani msemaji wa hayo.
Thanks a lot my dear. I appreciate.Kuna kitu ndani yako Mungu akubariki km ndio unaanza au upo tayari,.hip hop for life
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia post no 1089 utaukuta.Mgeni wa komba
HUO WIMBO WA KOMBA MGENI UMESHAWEKWA HUKU SIKU NYINGI TU TAFUTA POST ZA KUANZIA NO- 500 KUENDELEA.
huu uz ufungwe sasa