Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Yes,
Nani mwimbaji ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.

Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo wanatamani kuwa hivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.

Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.

Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.

Usiombe kuwa Msanii, utateseka sanaaa~Madee feat T.I.D.
 

Attachments

Hahahahah. Ni wimbo wangu mkuu.

Nimeelezea vile watu wanavyowaona wasanii maisha yao jinsi yalivyo lakini kwenye uhalisia wanakutana na mengi kiasi kwamba wengi wanaishi maisha sio yao kiuhalisia.

Ila bado kila kukicha wengi wanatamani kuingia katika hiyo hiyo sanaa ambayo ndani yake kuna mambo kibao mpaka uje kufika kwenye peak. Unapitia mengi, na usipokuwa makini kwenye peak kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanguka au hata kuangushwa mkuu.

Ndo mana nikasema ; unatamani uwe mimi. Usitamani uwe mimi.
Daah,yaliyosemwa humo sina shaka nayo nimeyaelewa sana lkn nilishindwa kuelewa nani msemaji wa hayo.
Kuna kitu ndani yako Mungu akubariki km ndio unaanza au upo tayari,.hip hop for life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom