Bro upo kwenye game ya hiphop kumbe??ukitoa hyo ngoma ya unataman kuna ngoma gan zngine tena,nmesikiliza uko vzr sana bro
Much respect bro
Hahah nmemsikia,brother yupo vizuri sana,sikuwahi kufikilia kama atakuwa ana nata na beat kiasi hicho
Nimeweka replay kwa makini kbs ili nimwelewe zaidi.
Ss afanye mpango atupe na zingine tuendelee nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe tena,,hope atafanya hivyo ngoja tusubiri
Thanks a lot brother,,itapendeza sana kushare nasi hizo ngoma hapa[emoji120][emoji120]Thanks a lot wakuu wangu. I appreciate.
Well kuna project nipo nayo ila haijaenda kwa hewa bado, lakini pia sitaiweka hapa ila ntawatupia kwa niaba yenu wakuu.
Sikutaka nifanye hivyo ila kwa heshima na taadhima zenu imenilazimu nifanye hivyo wakuu wangu.
Heshima sana kwenu wakuu. Thanks.
Ss kutoniita ktk mambo mazuri km haya manake nini.?[emoji19]Thanks a lot brother,,itapendeza sana kushare nasi hizo ngoma hapa[emoji120][emoji120]
Unaona mambo hayo ss,,Thanks a lot wakuu wangu. I appreciate.
Well kuna project nipo nayo ila haijaenda kwa hewa bado, lakini pia sitaiweka hapa ila ntawatupia kwa niaba yenu wakuu.
Sikutaka nifanye hivyo ila kwa heshima na taadhima zenu imenilazimu nifanye hivyo wakuu wangu.
Heshima sana kwenu wakuu. Thanks.
Q chief mama uko wapi mwenye nao pls
Daz baba usihukumu HQ YouTube ipo ila low bytes
Habari za asubuhi wakuu.
Tafadhali naomba hit songs za msanii
"Monique Seka" yule malkia wa zouk
Shukrani.
#kioo
#gwankaja
#idimi
Asubuhi njema.
Kamanda kuna ngoma naisaka ya Roho zinawauma Mr Blue na Sema ya mr Blue