Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Huo wimbo unaitwa BANA DRCNaomba mwenye wimba wa wenge BCBG siujui jina ila unavionjo kama
Baswahili batati mang'ana..... Au eliiii mama...eliii mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu hata magic FM haifikiKuna wimbo Fulani ulikuwa unapigwa magic fm bolingo ameimba sijui ni mdongo wake bushoke sikumbuki jina la wimbo alikuwa anatajwa sana jina lake sijui ni ramso bushoke sina uhakika na jina hilo ni yule aliyeimba na bushoke wanashindwa lala sasa yeye ana wimbo wake wa taratibu bolingo fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma iliwekwa week iliyopita na Kioo nadhani. Hebu pitia post zilizotangulia....Kuna wimbo Fulani ulikuwa unapigwa magic fm bolingo ameimba sijui ni mdongo wake bushoke sikumbuki jina la wimbo alikuwa anatajwa sana jina lake sijui ni ramso bushoke sina uhakika na jina hilo ni yule aliyeimba na bushoke wanashindwa lala sasa yeye ana wimbo wake wa taratibu bolingo fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
JOHN MJEMA MISSION TOWN NA GUMZO
Jamani hizo nyimbo zimekosekana!
Mkuu niliomba nyimbo ya Wandago ft Ngwair Maisha ya mademu umenipotezea na wadau wengine wakubwa kama mnayo nitupieWatakupa wadau hapo itakayokosekana utanishtua jombaa.