KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
 
Ngoni Tribe hao walikuwa wanamjibu Jide kwenye Wanaume kama mabinti, wao wakaimba Wamama kama vijana..
 
Mimi natafuta wimbo wa watoto show ya radio one mimi nataka wenyewe mana ule wa YouTube umeimbwa kama live Mimi nautaka wenyewe original mana nimeutafuta bado sijaupata halafu na mmoja wa jamaa jamaa fulani wa zamani sijui kaimba nani wimbo unaimbwa hivi " namba moja naomba mimi nikae namba moja moyoni mwako namba moja" ni mahadhi ya kama reggae fulani hivi naomba mwenye nao na mwingine wimbo wa Mr two a.k.a sugu ft king kiki - hapo zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna wimbo mmoja sjui ni wa Usher Raymond unaanza kama hiko kinanda hapo chini kinavyoanza.

Naombeni msaada wenu siujui jina lake wakuu.

Please please please.

Nafkiri wimbo unaoutaka unaofanana na hiko kinanda hapo chini ni huu wa Dj Khaled nafkiri sio Usher Raymond.
 

Attachments

Nafkiri wimbo unaoutaka unaofanana na hiko kinanda hapo chini ni huu wa Dj Khaled nafkiri sio Usher Raymond.

Mkuu ni kweli una skio la muziki na kweli hiko kinanda kimefanana pia aisee.

Lakini bado sikio langu linakataa kuwa sio huo itakuwa ni wa Usher japo ni mpenzi wa Hip Hop ila bado sikio linakataa mkuu.
 
Msaada mwenye wimbo wa hbc ft mr ticha jina nimesahau na wimbo wa daz p aka bwana mkubwa _ sister duu kama unataka kuja home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…