Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ni Walume ndago (Wandago). Nitaurusha kesho
KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIOO binswedi nipeni ngoma ya fagio la chuma na Pamba nyepesi ya Insipector Haroun zinanikumbusha mbali sanaaaa na nyimbo Eno mic ya Zig D zinanikumbusha mbali watu muhimu ambao leo sipo nao ila walikua wanazipenda sana hizi nyimbo,nitumieni wakuuv@kioo binswedi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo wa inspector haroun ft Ali choki wimbo unaitwa mtoto wa geti Kali part 2 una baadhi ya maneno haya "mtoto geti kali amekubali kula kurumangia ugali kwa kachumbali hehehee sasa yuko nami tunajivinjari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Back
Top Bottom