Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nisaidiwe nyimbo 2
1. Je Utanipa - H Baba ft Pasha & Ester Wasila
2. Mwanamke kitenge - Mr Paul

asanteni
 
KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE

KIOO Idimi na mimi nautafuta wimbo huu
 
Mwenye nyimbo zifuatazo aniwezeshe
Naomba shilingi mia ya bizman
Usiku usiingie Mr zumo na raha ya upendo wa bizman
 
Wakuu naombeni wimbo wa watoto huwa unaimbwa kwenye redio flani hv katka kipindi cha watoto

Unaimbwa hv...

Watoto wasafi moyoni, ni nyota ya macho ya wazaz
Sisi ni maua tuliopendwa, na mungu mwenyezii.....Mwenye nao naomba anisaidie wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natafuta wimbo flani hivi ukiitwa 'Zakaria' ikimaanisha dudu au mti ngozi . ulikuwa ni wimbo wa bongo fleva. Pia mwenye wimbo wa anti-virus original version aweke hapa
 
Wakuu naombeni wimbo wa watoto huwa unaimbwa kwenye redio flani hv katka kipindi cha watoto

Unaimbwa hv...

Watoto wasafi moyoni, ni nyota ya macho ya wazaz
Sisi ni maua tuliopendwa, na mungu mwenyezii.....Mwenye nao naomba anisaidie wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Back
Top Bottom