Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Radio one kipindi cha watoto jumamosi asubuhi dah mkuu umenitia huzuni sana umenikumbusha mbali sana ni maisha ambayo hayawezi kurudi tena
Wakuu naombeni wimbo wa watoto huwa unaimbwa kwenye redio flani hv katka kipindi cha watoto

Unaimbwa hv...

Watoto wasafi moyoni, ni nyota ya macho ya wazaz
Sisi ni maua tuliopendwa, na mungu mwenyezii.....Mwenye nao naomba anisaidie wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna ngoma moja ilikuwa inapigwa sana Clouds kipindi cha reggae usiku na walikuwa wanatumia beat lake ni ngoma ya kibongo ila sijui jina la muimbaji.

Mistari inasema "Usinitupe mi, najua kosa nlilokufanyia mi, ujue nakupendaaaaaa, ndo mana sometime nina jealousy... "

Hebu tupieni hilo goma wakuu. Ni hatari faya aisee.
 
Attachments

Attachments

Tbt

Habari wakuu
Naomba dude la nako 2 nako
Bang Rmx.

Shukrani..

Kioo
Idimi
Gwankaja
 
Back
Top Bottom