Assa Kamwela
Member
- Aug 18, 2018
- 87
- 25
Jamani mwenye live sebeni la werrason naliomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh ina maana mama imetoka lini??Mimi na PNC tumecheza wote Goms mkuu.Usibishe maana mimi nayeye ni rika moja na tunajuana kiundani undani.Hiyo miaka unayosema unakosea
Enika Baridi Kama hiikuna wimbo nautafuta siukumbuki jina ila kati ya mistari ni "sijawahi kupigwa na baridi kama "
ameimba mdada simjui jina pia.. asanten wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ofcoz hope utakuwa ndo huo... ngoja nikausake mkuuEnika Baridi Kama hii
Ngoni Tribe hao walikuwa wanamjibu Jide kwenye Wanaume kama mabinti, wao wakaimba Wamama kama vijana..KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
Kama unayo nipatie mkuuNgoni Tribe hao walikuwa wanamjibu Jide kwenye Wanaume kama mabinti, wao wakaimba Wamama kama vijana..
Nitumie kwa wasap
Mkuu naomba ngoma zote za AT na wale wana wengine nipe kitu Ahmada pls kakaMh ina maana mama imetoka lini??
Jamani kuna wimbo mmoja sjui ni wa Usher Raymond unaanza kama hiko kinanda hapo chini kinavyoanza.
Naombeni msaada wenu siujui jina lake wakuu.
Please please please.
Nafkiri wimbo unaoutaka unaofanana na hiko kinanda hapo chini ni huu wa Dj Khaled nafkiri sio Usher Raymond.