KUNA WIMBO WALIIMBA MASELA FLANI HIVI SIJAJUA KAMA NI RMX YA WANAUME KAMA MABINTI KWENYE VIDEO YA HAO MASELA WAKO VIFUA WAZI KIITIKIO WANAIMBA HIVI
TUNAKULA KUNYWA NA KUVAA SIKUZINAENDAA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE MITUNGI MISOSI NA PAMBA SIKU ZINAENDA WAMAMA WATU WAZIMA WANATUPENDA WENYEWE
MWENYE NAO ANISAIDIE
1. Mikononi mwa polisi Mr. 2
2. Siku za hukumu za mwisho...wandago ft inspector harun
Sent using Jamii Forums mobile app
KIOO binswedi nipeni ngoma ya fagio la chuma na Pamba nyepesi ya Insipector Haroun zinanikumbusha mbali sanaaaa na nyimbo Eno mic ya Zig D zinanikumbusha mbali watu muhimu ambao leo sipo nao ila walikua wanazipenda sana hizi nyimbo,nitumieni wakuuv@kioo binswedi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nzuri-Danny Msimamo na Narudi nyumbani/Nimeshindwa maisha-John Woka &Ras Lion. Please mwenye nazo
GWM KAMUA