Umeshaupata?Kuna wimbo.. Uliimbwa na jamaa mmmoja hivi. Sijajua unaiywaje sema aliimba hivi.
Ooooh mama miaa
Kakuzimiamia aminianiaaa
Ooooo mamaa miaaaa
Nb. sio Yule Dr. jose chameleon. Jamaa alikuwa na Rasta hivi kutoka aidha Uganda au Kenya
naomba msaada wa nyimbo ya MCHINGA SOUND KISIKI CHA MPINGO
Jay mo - You & me