Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu mwenye wimbo wa juma jazz ft dully Sykes natamani autupie apa natanguliza shukari wakuu sana
 
Friends, natafuta wimbo wa "Ndani ya Club"...Kaimba P.Funk, Kiitikio mzee mwenyewe Juma Kassim Kiroboto.
 

Attachments

Sasa kiongozi kuna wimbo
Mr Blue ft Q Chief - Nipo na Nitakuwepo

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Back
Top Bottom