Kioo cha hits, ntumie nyimbo ya Jose mtambo na Maunda ile ya "Nafanya...Nafanya nachowezaaa"
Hio tommorrow bonge la pumbu mi pia naitaka, that was when Joh Makini was the illest! Sahivi anazingua tu
Ntumie Rompee mkuu ya daddy yankee
Mkuu naomba ngoma ya Chidi - Like a movie star
Hii like that ya TNG hamna yenye quality kubwa zaidi
Naombeni ngoma ya TNG - Bongo
Mataaluma kasindola
Yang dii dada huyo
Sharomilionea hawataki
Ntumie na ngoma ya Maunda Zorro_ Nataka niwe wako
Haya. Huu hapaNtumie na ngoma ya Maunda Zorro_ Nataka niwe wako
Wale ni Mapacha wa Mwenge. Pasu kwa Pasu ni studio waliyorekodiaKama una Bang ile ya Pasu kwa Pasu pia nsogezee,
"tunabang...kutoka mwenge mpaka town tuna bang!"