Natafuta pia wimbo wa bongofleva wenye maneno, 'Imani imetoweka umebaki unyama, unyama unyama, imani imetoweka hivi sasa usalama, hakuna hakuna' nadhani Alicom ameshirikishwa
 
Natafuta pia wimbo wa bongofleva wenye maneno, 'Imani imetoweka umebaki unyama, unyama unyama, imani imetoweka hivi sasa usalama, hakuna hakuna' nadhani Alicom ameshirikishwa
Hahahahah hii inabidi ipigwe kwenye kampeni ijayo ya jiwe! Badala ya hatunywi sumu hatujinyongi!!!
 
naomba lyrics za 'the last time we made love' wa Tanya Blount

Daaaah, mkuu lyrics sina ila asante sana kwa hii ngoma aisee sijaiskia nna muda sana, pia baada ya kuiskiliza sikio langu likakumbuka tena wimbo mwingine wa 702_You_Just_Never_Know ambao pia sijauskia kitambo sana.

Umefanya jioni yangu imekuwa njema sana kwa hizi ngoma mbili mkuu. Thanks a lot nikipata lyrics sitasita kukuwekea hapa. Thanks aisee.
 

Attachments

Kuna wimbo wa bizman siujui Jina ila kuna part ya lyrics iko hivi "najua upepo haupakwi rangi na maumivu ya dole gumba ukipondwa hayapozwi kwa upepo wa mdomo"

Mwingine wa bizman unaitwa maimuna


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mapigo yote ya yondo sister
Na washikaji hawa Johnson and Jackson nyimbo zao hizi hapa
Marianah ft chid Benz
Na usife moyo ft joslin
Kitu kingine perfume ya joslin.
Harafu goma la momba gari
 
Wakubwa zangu nimerudi tena kuna wimbo Hardmad alishilikishwa na Mwana dada fulani hivi wimbo nahisi unaitwa nilisema Hardman anarapu hivi punguza majonzi punguza majonjo wako asikuumize moyo.
 
YP & Y Dash - Shamsa

"Hukunipenda me ulipenda pesa,ungenipenda me usingejali shida "
 
Naomba wimbo wa Bushoke-Maria na wa Sumalee-She Drive Me Crazy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…