Noah the Great
Member
- Feb 23, 2017
- 34
- 41
Nahitaji ngoma 2 za Solo Thang Nilikupenda mwanzo na nyingine Mpenzi wakuu.
jamani mbona cjibiwi au huu wimbo haufahamiki.......war will ft tid&jose mtambo-vyote vyangu
Sent using Jamii Forums mobile app
ntashukuru acha nisubiliOmbi lako linafanyiwa kazi usichoke tu kusubiri likishakamilika litawasilishwa hapa aisee.
Ngoja nitakuchekia baadayeNaomba na wa sumalee_she drive me crazy
Umetisha sana
ni mimi hapa mkuu, yaani hadi njaa imeshiba.Kuna mtu aliomba hii nshamsahau
mwenye hizi mambo azishushe.nipo tayari hata kununua