Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wimbo wa Ras lion unaitwa fani si utani tafadhali mwenye nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimetafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, nitashukuru sana ukinitumia utakapopata.Daaaah, mkuu lyrics sina ila asante sana kwa hii ngoma aisee sijaiskia nna muda sana, pia baada ya kuiskiliza sikio langu likakumbuka tena wimbo mwingine wa 702_You_Just_Never_Know ambao pia sijauskia kitambo sana.
Umefanya jioni yangu imekuwa njema sana kwa hizi ngoma mbili mkuu. Thanks a lot nikipata lyrics sitasita kukuwekea hapa. Thanks aisee.
Mkuu nimetafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, nitashukuru sana ukinitumia utakapopata.
Asante sana kwa 702_You_Just_Never_Know huu nimeusikia kitambo sana ila sasa nimeuweka kwenye playlist yangu
Natafuta mp3 ya Innocent Galinoma-sote ni ndugu.
namaanisha lyrics za the last time we made love wa tanya blountUsjali kiongozi tuko pamoja mkuu. Sijakuelewa wimbo gani unatafuta kwa muda mref umesema...?
namaanisha lyrics za the last time we made love wa tanya blount
Wakuu naomba mwenye nyimbo izi anisaidie
Bwana misosi_nitoke vipi
Bwana misosi_mabinti wa kitanga
Joni woka na Ras lion_tawile
Hard mad_tamala
Wagosi wa kaya_Tanga kunani rmx
Pia kuna nyimbo moja inaitwa request line mshikaji moja ivi wa Chugga jina lake nimelisahau ya kitambo kidogo
Natanguliza shukrani zenu wana jamvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu leo nakuja kivingine kidogo kwa kuimalizia Ijumaa naomba huu sjui niite wimbo au kaswida ila ni wa jamaa mmoja hivi anaitwa Yusuf Abdi unaitwa Tabia ni dini yako wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu aisee.
Hahahah, huu sio wimbo wala qaswida aisee inaitwa NASHEED mkuu.
Huyu jamaa namkubali sana kwa kazi zake na hii pia ni moja kati ya kazi zake nnazozikubali sana aisee. Ina ujumbe mzuri sana mkuu.