Hapa ninao unaitwa Usilete mchezo ila ina hicho kionjo tu...We nenda tuu we nenda tuu,
Sikutaki tena,
We nenda tu we nenda tuu,
Moyoni unanichoma,
Ondoka wewe nenda,
Usije nletea ngoma aaaaa
We nenda tuuu..
Natafuta huu wimbo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni wimbo ya Rich mavoko na TID, Jina la wimbo nimesahau jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni Alifu kwa Ujiti ya Fatma na Jos Mtambo
Kaka kama una wimbo wa Whitney Houston whatchulookinat remix ft Pdiddy kama unao naomba unitumie naona wadau wameuchuna humu sijui kwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wimbo wa spack ft chid benz-laiti ungejua na y-ton :-masebene...kama unazo tupia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hebu shusheni hili jiwe hapa aisee.
Bless my room when I wake up early in the morning. Hatari sana hiyo pini aisee.
Msaada wa huu wimbo wakuu...
Mambo ya Fedha - MR II Sugu
Hapa ninao unaitwa Usilete mchezo ila ina hicho kionjo tu...
Walioimba wanajiita TMK majita..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi huu uliupata? Nilikuwa nao miaka ya 2010 nauhitaji saanaUnaimbwa kama ifuatavyo.
¶ Naona muda unazidi kwenda baby, na masiku yanakatika baby, ningejua kitu unachotaka kunambiaa, Niambieee... Niambiee mpenzi
Basi niambie... Tell me w... Me naomba niambie... Tell me w...Niambieee, niambie mpenzi ¶
Ni wimbo wa kitambo HV, So naomba msaada nani kaimba na waitwaje..
Asante..