Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakali wangu naomba nyimbo hizi
1. Izzo B utarudishwa mbeya
2.move like a ball play
3.taxi bubu
 
Unaimbwa kama ifuatavyo.
¶ Naona muda unazidi kwenda baby, na masiku yanakatika baby, ningejua kitu unachotaka kunambiaa, Niambieee... Niambiee mpenzi
Basi niambie... Tell me w... Me naomba niambie... Tell me w...Niambieee, niambie mpenzi ¶
Ni wimbo wa kitambo HV, So naomba msaada nani kaimba na waitwaje..
Asante..
Bosi huu uliupata? Nilikuwa nao miaka ya 2010 nauhitaji saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom