TOUGH RALLY
Member
- Nov 30, 2011
- 14
- 4
Naomba unisaidie mkuu, " Nani kauona mwaka" ya sikindewaweka nyimbo awatakiwi jamani ila me ninazo nyimbo za kitambo karibia zote
Huo hapo kaka kazi kwako..enjoy!
Mkuu nauomba huo nani kauona mwakaHapo nina nyimbo km 3 kwa phone yangu Maisha ya boarding,hiyo ya mike tee na nani kauona mwaka
Subiri niku elekeze download app ya Peggo km una tumia adroid zipakue kuna nyimbo nying sana alafu rahisi sanaMkuu nauomba huo nani kauona mwaka
If possible mkuu niwekee screenshoot ya muonekano wa hiyo appSubiri niku elekeze download app ya Peggo km una tumia adroid zipakue kuna nyimbo nying sana alafu rahisi sana
If possible mkuu niwekee screenshoot ya muonekano wa hiyo app
If possible mkuu niwekee screenshoot ya muonekano wa hiyo app
Nashindwa kujua jinsi gani hiyo App inatumika mkuu
Nashukuru nmeiweza,, lakini wimbo nani kauona mwaka sijaupata mkuu
Andika DDC mlimani-Huruma kwa wagonjwa ndiyo huo wimbo unaitwa.Nashukuru nmeiweza,, lakini wimbo nani kauona mwaka sijaupata mkuu
dah kuna wimbo unaitwa Funga zipu wa juma nature na abbas dogori yaan cjui ntaupata wapi nmeutafuta sana youtube sijauona mwenyenao anisaidie tafadhari
2 pac- changes
Huu wimbo nimeupata ila namna ya ku upload ndio nimeshindwaule wimbo uliotumika kwenye series ya Journey to the west (Shivo)
Poa mkuuaisee ndugu shukrani sana aisee...nmefurahi sn kuupata