Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Said fella ft dreazy chief - 2008/2009
Kipusa by bwana misosi pls
Mkuu kuna ile wanaokwenda jela sio wote wenye hatia
nina nyimbo mbili tu katika hiyo album.nyingineyo ni hii hapa chiniIlikua ni mimi mkuu, Sema hiyo nilikua nayo natafuta zingine kutoka kwenye hiyo album ya mwisho ya Marehemu Dr. Remmy.
Nipe namba yako nikuwasap huo wimboNahitaji track ya Prof. Jay ft KreGals - Kama Ipo (Kupanda na Kushuka)
Prod. Lamar [Original MP3]
Pamoja mkuu.. Enjoygwankaja
Weekend ya leo naianzia home vizuri kwa ngoma ulizodondosha
Hiyo 1 ni ya Nemo.. Vumilia, pia ipo aliyoimba mdada..Wakuu kuna nyimbo nazikumbuka miztari kadhaa tu na ninazitafuta sana naombeni saada
1.nimekuzoea ukiniacha.......... mapenzi siyo pesa wala siyo ustaa
Alafu kwa mbele km kuna binti mmoja anaimba kwa mbele mwenye hii nyimbo anisaidie au hata jina tu km mnaijua
2. nashindwa
baby bila wewe mi siwezi
Hii nyimbo ni ya steve rnb lakini youtube sijaipata na sehemu nyingine siioni mwenye nayo anisaidie