Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
gwankaja

Weekend ya leo naianzia home vizuri kwa ngoma ulizodondosha
 
Nimetafuta sana wimbo wimbo wa Gregory Isack pillow talk.
Katika album ambao nyimbo tofauti tofauti zinapigwa kwa beat inayofanana.
Naitaka sana nisaidieni please
 
Nahitaji track ya Prof. Jay ft KreGals - Kama Ipo (Kupanda na Kushuka)
Prod. Lamar [Original MP3]
 
Wakuu kuna nyimbo nazikumbuka miztari kadhaa tu na ninazitafuta sana naombeni saada

1.nimekuzoea ukiniacha.......... mapenzi siyo pesa wala siyo ustaa
Alafu kwa mbele km kuna binti mmoja anaimba kwa mbele mwenye hii nyimbo anisaidie au hata jina tu km mnaijua

2. nashindwa
baby bila wewe mi siwezi

Hii nyimbo ni ya steve rnb lakini youtube sijaipata na sehemu nyingine siioni mwenye nayo anisaidie
 
Hiyo 1 ni ya Nemo.. Vumilia, pia ipo aliyoimba mdada..
Hiyo nimeshindwa ipo.. Nitaweka kesho
 
Kuna wimbo mmoja inapigwa sana klabu, ni wasauzi ni huwa nasikia Omunye, then beat halina mwisho
 
Back
Top Bottom