muntally ally
Member
- Apr 27, 2019
- 36
- 27
Wakuu kuna nyimbo nazikumbuka miztari kadhaa tu na ninazitafuta sana naombeni saada
1.nimekuzoea ukiniacha.......... mapenzi siyo pesa wala siyo ustaa
Alafu kwa mbele km kuna binti mmoja anaimba kwa mbele mwenye hii nyimbo anisaidie au hata jina tu km mnaijua
2. nashindwa
baby bila wewe mi siwezi
Hii nyimbo ni ya steve rnb lakini youtube sijaipata na sehemu nyingine siioni mwenye nayo anisaidie