Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo wa dini, KIMARA EVERSHINE SINGERS, BWANA MUNGU KWELI WEWE WA AJABU. NI WA MWAKA 2009-- 2010
 
Wapendwa..kuna nyimbo za reggae za kundi furani lilitwa The Gladiator kutoka Jamaica na Ghana.album hiyo iliimba nyimbo nzuri sana na ilienda kwa jina la Remember Bob Marley.kama kuna mwenye hizo nyimbo tafadhari anisaidie
Ninazo zote.. nimeshindwa kuziweka humu. Rmber bob marley.. mama aftica, scholar boy, na nyinginezo nyingi kama 11 hivi za hao jamaa.
Kama huyojali acha no ya simu nikutumie au inhia youtube tayari zipo kwa sasa.
 
Wakuu natafuta wimbo unaoibwa hivi
"welundu wenda chaali welundu wenda chaali weesaa boie mbeele weesa boie mbeele"
Sijui umeimbwa na makoma lakini jina la wimbo nimelisahau.
Tafadhali msaada wenu
Hata mm nikiupata nitafurahi sana
 
Wakua nisaidien wimbo huu
Basi na mi nimo,kila kona ya mtaa na mi nimo
 
Mkuu naku pm nitumie whatsapp please...dah! Barikiwa sana
Ninazo zote.. nimeshindwa kuziweka humu. Rmber bob marley.. mama aftica, scholar boy, na nyinginezo nyingi kama 11 hivi za hao jamaa.
Kama huyojali acha no ya simu nikutumie au inhia youtube tayari zipo kwa sasa.
 
Wakuu mwenye wimbo wa
P funk ft Dully Sykes Please forgive me
Snare wa ECT funguo uliopotea
 
Back
Top Bottom