Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umo humu humu.Nautafuta sana wimbo wa q chief feat dataz tunatawala msaada please
Duh ngoja niutafute sijui hata upo comment number ngapi?Umo humu humu.
Wauguzi... WAGOSI WA KAYA
please guys
Baby - prof J feat Mkoloni (ilikuwa kwene album ya JOSEPH nadhani) side B
Ukiwa mtenda mabaya - remy ongala
Ukinitumia
Naomba nyimbo ya
Kitambaa cheupe -king kiki
Baucha - Nimo.
Nielekezeni jinsi yakupandisha audio.
Wakuu mwenye wimbo wa
P funk ft Dully Sykes Please forgive me
Snare wa ECT funguo uliopotea
Kuna wimbo fulani wa Dini Unaimbwa
"kuna watu wengine wapitapo majaribuni"
Wanasahau Kwamba mungu yuko" kaimba mwanamke sijui ni nani na wimbo siujui kwa jina
Bonyeza sehemu iliyoandikwa photos,files kwa chini yake then ingia attachment utakutana na file za nyimbo zakoMkuu KIOO tufundishane jinsi ya kupandsha nyimbo humu, nashindwa kusaidia wengine.
Bonyeza sehemu iliyoandikwa photos,files kwa chini yake then ingia attachment utakutana na file za nyimbo zakoBaucha - Nimo.
Nielekezeni jinsi yakupandisha audio.