Kuna hii ngoma ya kwanza unit, inakwenda kwa jina la Nakuja "kama nilivyosema sasa nakuja, kama nivyosema sasa na,,, nakunaku yo!
Mwenye nayo atusaidie wakuu
 
Kuna wimbo mmoja hivi wa dini. Ulitoka miaka mingi sana. Wanaimba hivi

_Hata sasa aa BWANA wangu, umeshanisaidia, nionapo mkono wako, sioni shaka tena_.(chorus)

Bwana wangu, umenijulisha mambo mengi ya ajabu, uhai uu, uzima uu ni neema yako BWANA. (Verse)

Sijui ni fanuel, sijui sedekia au waimbaji wa zamani
 
Mwenye nyimbo za kwaya ya kijitonyama ya zamani ile hakuna mungu kama wewe bwana.
 
Natafuta nyimbo za Choir ya Mama Rwakatale Mikocheni (JOY BRINGERS NA THE HAPPY CHOIR) zile albums zao za kwanza kabisa miaka ya 2005 - 2006..
 
Kuna wimbo fulani wa Dini Unaimbwa

"kuna watu wengine wapitapo majaribuni"
Wanasahau Kwamba mungu yuko" kaimba mwanamke sijui ni nani na wimbo siujui kwa jina

Nadhani utakua ni huu unaitwa Majaribu wa Bahati Bukuku, Maana nao unamaneno hayo hayo ndani yake.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…