Mkuu KIOO naomba nyimbo za HBC Prof Jay akiwepo kama chuzi limekolea
 
Jamani naomba mnisaidie sana kupata haya magoma:
Penalty ya mwisho- Nash MC
Asiyehusika na Hip-hop atoke by Nash Mc
Nisaidieni sana nipate hizo ngoma

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
File naziona ila zinakua fent kuonesha hazitambuliwi na apps. Situmii browser.
Bonyeza sehemu iliyoandikwa photos,files kwa chini yake then ingia attachment utakutana na file za nyimbo zako
 

Sor kuna wimbo wa professoj J unaimbwa hivi kuna kama watoto wanaimba kiitikia
(Baba baba baba nione huruma baba nione huruma baba) naomba tafadhali
 
Kwema bro?habari za siku,,,naomba wimbo wa Godzillah -Boss Life
 
Naomba nyimbo inaitwa huduma Ya Mungu ni ngumu ndugu sikia yahitaji kujitolea
 
Wakuu naombeni nyimbo zifuatazo,
Kuishi na watu vizuri-Dollo
Mami-Juma Nature
Noma- bboy Stereo
Usiishi kwa leo- one incredible
Tunakupenda-JPOp
Ukimuona-Diamond
Nilie na nani-Afande Sele
Wanatamani-Solo Thang
Hakuna noma -Profesa J
Asante -bob junior
Oyoyo-Jmartins
Good or bad-Jmartins
Rizwan-Izzo B
We Ni wangu-Belle nine
Kilio changu- solo Thang
Kilingen- mwiduka
 
Natafuta wimbo wa One The Incredible ft Wakazi & Nikki Mbishi ni wa muda kidogo nadhani ulitoka 2014 - 2015

Update: Nimeshaupata tayari unaitwa CHAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…