Washkaji kuna wimbo wa professor j siujui jina ila uko hv kuna watoto wanaimba kiitikio
(Baba baba baba nione huruma baba nione huruma baba) naiomba tafadhali”
 


Ngoja tusubirie wengine waje wamalizie list yako hiyo mkuu.
 

Attachments

Pitia huu uzi vizuri.hiyo ngoma ipo humu ilishawekwa
mkuu fanya msaada wa
1:shika mic _ king gk ft Jeff jafary
2: haturap fa ft kwanza unit
3: acha kulia mic t
4: jamaa mmoja nimemsahau jina _njoo tutoke
5: dudu baya kaza buti
6: albam ya uvc
 
Nitashukuru kama utanipatia wimbo wa juma bhalo kama sijakosea.
Sipandi tena mabasi.
Mupendao riba hamwendi peponi.
 
Habar za sasa wakuu.
wakuu naomba ngoma ya huyu rapa anaitwa BLACK MC wa hapa bongo
ngoma yake inaitwa HISIA.

Thanks wakuu.
natanguliza shukran.


Kioo
idimi
gwankaja


pamoja wazeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…